NEWS #KITAIFA || Majina mapya ya walimu waliopangiwa vituo vya kazi.
Haya hapa majina 3033 ya walimu wa sekondari na shule za msingi waliopangiwa vituo vya kazi.
Hii ni kufuatia tangazo la serikali la kuziba nafasi zilizoachwa wazi na walimu waliachishwa kazi baada ya kubainika kuwa na vyeti vya kugushi.
Soma majina hapa
Post a Comment