NEWS #KITAIFA || Rais JPM aorodhesha mali anazomiliki, aagiza viongozi wengine kufanya hivyo kabla ya Disemba 31
Rais John Pombe Magufuli amewasilisha fomu yake ya tamko la kuhusu rasilimali na madeni katika ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam.
Pia amewataka viongozi wengine kujaza na kuwasilisha fomu zao mapema kabla ya Disemba 31.
Amesema "Mh. Jaji Nsekela, ikifika 31 Disemba, ambayo ni siku ya mwisho kwa mujibu wa Sheria, Weka mstari na usipokee fomu nyingine, tuone sheria itafanyaje, nakutakia kazi njema"
Soma zaidi hapa >>>
Post a Comment