BREAKING NEWS || TTCL, CELTEL(Airtel kwa sasa) ushahidi out!




Kufuatia agizo alilolitoa Rais John Pombe Magufuli, kumtaka waziri wa fedha na mipango, Dr. Philip Mpango, kuchunguza undani wa suala la umiriki wa kampuni ya mawasiliano "Airtel Tanzania" kwa kile kilichosemekana kampuni hiyo inapaswa kuwa chini ya umiriki wa kampuni ya serikali ya mawasiliano TTCL, 
Sasa ushahidi wawekwa hadharani.
Huu hapa usome.