TODAY'S NEWS #KITAIFA || Haya hapa majina ya wadaiwa sugu HESLB



Bodi ya Mikopo yatangaza Majina ya wadaiwa Sugu na waajiri wasiowasilisha  makato kwa Wakati.

Soma hapa orodha ya majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu walioko kwenye makundi mawili:

(i) Wadaiwa sugu <<Bofya hapa>>

(ii) Waajiri wasiowasilisha makato kwa Wakati <<Bofya hapa kuyasoma>>